Monday, 6 May 2019

BEN POL MBIONI KUMUOA MILIONEA WA KIKENYA


Ben Pol (Photo:intagram)

Mwanamuziki wa R&B tanzania,Ben Pol ameonesha nia yake ya kuishi na mrembo mjasiriamali milionea wa huko Kenya,Anerlisa. 

Ben Pol  akionekana akimvisha pete ,ikiendana na alochokiandika katika kurasa yake ya intagram,maana ya kwamba mrembo huyo pia ameridhia kuhusu suala hilo.(Tazama picha chini).


Anerlisa ni mfanyabiashara,mjasiriamali aliyafinikiwa nchini Kenya.Wawili hao wamekua wakionekana  pamoja,wakila "good time" nchi tofauti tofauti , tangu miezi kadhaa iliyopita.
Na sasa Ben Pol ameamua kutaka kuweka jiko ndani .


0 comments:

Post a Comment

Share

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites